Jioni - Voice of America

Jioni - Voice of America


Mamilioni ya wapiga kura nchini Marekani wanapiga kura leo wataamua Makamu Rais Kamala Harris au Rais wa zamani Donald Trump awe rais ajaye. - Novemba 05, 2024

November 05, 2024

Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.