Jioni - Voice of America
Serikali ya Uganda inasema idadi ya vifo kufuatia mlipuko wa lori la mafuta wiki iliyopita karibu na mji mkuu Kampala sasa imefikia 24. - Oktoba 27, 2024
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.