Duniani Leo - Voice of America

Duniani Leo - Voice of America


Wapiga kura vijana Marekani wasema wanatamani wangekuwa na mgombea mwengine - Mei 02, 2024

May 02, 2024

Idadi kubwa ya wapiga kura vijana katika uchaguzi wa urais Marekani wanasema wanatamani wangekuwa na mtu mwengine asiyekuwa Joe Biden au Donald Trump waweze kumchagua.