Duniani Leo - Voice of America
![Cover art of Duniani Leo - Voice of America Duniani Leo - Voice of America](https://assets.blubrry.com/coverart/300/2994417-1718424189.jpg)
Latest Episodes
Duniani Leo - Juni 14, 2024
Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C. #habari
Duniani Leo - Juni 13, 2024
Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.#habari
Duniani Leo - Juni 12, 2024
Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C. #habari
Blinken aeleza hatua ya Hamas kukubali sitisho la mapigano Gaza ni ishara nzuri - Juni 11, 2024
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Antony Blinken asema hatua ya Hamas kukubali sitisho la mapigano Gaza ni ishara njema.
Ufransa: Macron avunja bunge na kutangaza uchaguzi mpya - Juni 10, 2024
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron avunja bunge na kutangaza uchaguzi mpya mwishoni mwa mwezi.
ANC yagawanyika kuhusu chama cha kushirikiana nacho madaraka - Juni 07, 2024
Chama cha ANC cha Afrika Kusini kimegawanyika kuhusu chama cha kushirikiana nacho madaraka
Maadhimisho ya miaka 80 ya ushindi wa D-Day yafanyika Ufaransa - Juni 06, 2024
Viongozi wa dunia waadhimisha miaka 80 ya ushindi wa vita dhidi ya jeshi la Nazi nchini Ufaransa maarufu kama D-DAY.
Rais wa Korea Kusini asisitiza umuhimu wa mchango wa Afrika katika sekta ya madini - Juni 05, 2024
Rais wa Korea Kusini amesisitiza umuhimu wa mchango wa Afrika katika sekta ya madini na kueleza matumaini ya kuimarisha ushirikiano wa kibiashara.
Viongozi wa Afrika na Korea Kusini wakubaliana kuimarisha ushirikiano - Juni 04, 2024
Viongozi wa Afrika na Korea Kusini wamekubaliana kuimarisha ushirikiano katika nchi zao katika mkutano wa kwanza na viongozi wa mataifa 48.
Mexico yapata rais mwanamke kwa mara ya kwanza - Juni 03, 2024
Kwa mara ya kwanza Mexico yapata rais mwanamke ambapo maoni mseto yameendelea kumiminika katika taifa hilo lenye historia ya uhalifu na ukatili wa kijinsia.