SBS Swahili - SBS Swahili

SBS Swahili - SBS Swahili


Latest Episodes

Taarifa ya Habari 24 Disemba 2024
December 23, 2024

Waziri Mkuu Anthony Albanese ametupilia mbali tathmini ya upinzani kuwa amefeli kwa swala la uhamiaji, wakati ripoti za mihadarati kama heroin, methamphetamine na fentanyl kuingia katika vizuizi vya u

Wangeci "nilikuwa mkali sana katika mawasiliano yetu ya kwanza"
December 23, 2024

Je, unakumbuka ulipo mwona mpenzi wako mara ya kwanza? alikupokea ulivyo tarajia, au ilibidi uboreshe mstari yako kabla ujaribu tena?

Kuelewa maarifa ya wa Australia wa Kwanza kuhusu hali ya hewa na misimu
December 22, 2024

Pengine unafahamu misimu minne- Majira ya joto, vuli, majira ya baridi na masika ila, unafahamu kuwa watu wa Mataifa ya Kwanza wame tambua misimu mingine mingi kwa muda mrefu?

Kauli ya mwanae Museveni yazua kero kwa majirani Sudan na DRC
December 20, 2024

Serikali ya Sudan inaitaka Uganda iombe rasmi msamaha, kutokana na kile imekitaja kuwa ujumbe wa kuchukiza na hatari ulioandikwa na mkuu wa jeshi la Uganda Jenerali Muhoozi Kainerugaba, aliyetishia ku

Bw Chumba "tukishikana mikono itatupa urahisi kufanya vitu vikubwa pamoja"
December 20, 2024

Viongozi wa Jumuiya yawa Kalenjin wanao ishi New South Wales wanajiandaa kuwasilisha vyeti vya usajili wa Jumuiya kwa wanachama wao jioni ya Ijumaa 20 Disemba 2024.

Taarifa ya Habari 20 Disemba 2024
December 20, 2024

Eneo la kusini mashariki Queensland, lina jiandaa kukaribisha afueni ya hali ya hewa baada ya dhoruba kusababisha barabara kufungwa, umeme kupotea na mafuriko.

Mchungaji Mgogo "tunza ujana wako kwa ajili ya future yako"
December 20, 2024

Mchungaji Daniel Mgogo ni maarufu sana katika mitandao yakijamii, kwa jinsi anavyo huburi.

Taarifa ya Habari 17 Disemba 2024
December 16, 2024

Mawaziri wa kigeni na ulinzi wa Uingereza na Australia wamefanya mkutano wao wa kila mwaka ((AUKMIN)) mjini London ambako amekubali kuimarisha zaidi ushirikiano kwa ulinzi, biashara na sera yakigeni.

Mahakama yazima ndoto ya Edgar Lungu
December 13, 2024

Mahakama ya katiba ya Zambia imesikiza ombi la Rais mstaafu wa Zambia, Edgar Chagwa Lungu lakupewa ruhusa yakuwania urais wa taifa hilo.

Taarifa ya Habari 13 Disemba 2024
December 12, 2024

Serikali ya Albanese imetangaza mfumo mpya waku lazimisha mitandao yakidigitali yakufidia vyombo vya utangazaji vya Australia kwa matumizi ya habari zao.