Mrs Loureen J

Mrs Loureen J

Latest Episodes

MIPAKA KWENYE MAHUSIANO 3.
March 30, 2023

Linda mipaka yako, kuwa wazi mpaka wapi watu wanaweza kuingia kwenye maisha yako, ukiona mtu anavuka mstari mwambie kabisa kwamba hapa hapana! Usijiongeze kuingia sana kwenye maisha ya mtu hakuna mwanadamu anahitaji mtu wakumfuata fuata nyuma au kudhani a

MIPAKA KWENYE MAHUSIANO 1
March 23, 2023

MIPAKA KWENYE MAHUSIANO 2.

KABLA HUJAANZISHA MAHUSIANO NA MTU AU KIJANA MWENZAKO, ANGALIA KWANZA MAHUSIANO YAKE NA MUNGU
August 25, 2020

Ni vizuri sana kijana wa kike au wakiume anayemuamini Kristo, kuangalia sana mahusiano ya kijana na Mungu (yani kijana anayetaka kuingia naye kwenye mahusiano ya kiurafiki au kwa lugha nyepesi ya vijana ya kimapenzi, yanayoweza kupelekea ndoa). Mara nying

KABLA HUJAANZISHA MAHUSIANO NA MTU AU KIJANA MWENZAKO, ANGALIA KWANZA MAHUSIANO YAKE NA MUNGU
July 29, 2020

Ni vizuri sana kijana wa kike au wakiume anayemuamini Kristo, kuangalia sana mahusiano ya kijana na Mungu (yani kijana anayetaka kuingia naye kwenye mahusiano ya kiurafiki au kwa lugha nyepesi ya vijana ya kimapenzi, yanayoweza kupelekea ndoa). Mara nying

VIPAUMBELE VYAKO VINAELEZA NINI KUKUHUSU!
June 30, 2020

Mtu mmoja aliwahi kusema hatma sio kitu unachokiendea bali ni kitu unachokitengeneza unahitaji kuweka vipaumbele vyako sawa(set your priorities right) vipaumbele vyako vitahakisi kwa ufasaha kabisa hatma unayoiendea. --- Send in a voice message: https

Utangulizi: Vijana Tuzungumze/ Introduction: Youth Lets talk
June 21, 2020

Utangulizi wa kipindi maalumu kwa ajili ya vijana. Ukiwa na Mtangazaji wako au mwalimu wako Mrs Loureen Jaspin. Jiandae kujifunza mambo mbalimbali.