Misemo Ya Babu

Misemo Ya Babu


Latest Episodes

Makasiriko Na Makataano Ya Mapenzi
February 28, 2020

Mjukuu Maye akimueleza Mjukuu Mutwiri wazo la Babu yake kuhusu hali ya  kutakana na kukataana kimapenzi! --- Send in a voice message: https://anchor.fm/misemoyababu/message

Sura Au Tabia?
December 01, 2019

Mjukuu Mutwiri akimueleza Mjukuu Maye kuhusu ucheshi wa Babu yake kuhusiana ni kipi angekichagua kati ya Urembo na Tabia anapotafuta kipusa. --- Send in a voice message: https://anchor.fm/misemoyababu/message

Inner Beauty
November 29, 2019

Mjukuu Mutwiri akimueleza Mjukuu Maye kuhusu ucheshi wa Babu yake kuhusiana na "Urembo wa Kindani".--- Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/misemoyababu/message