Duniani Leo - Voice of America
Mexico yapata rais mwanamke kwa mara ya kwanza - Juni 03, 2024
Kwa mara ya kwanza Mexico yapata rais mwanamke ambapo maoni mseto yameendelea kumiminika katika taifa hilo lenye historia ya uhalifu na ukatili wa kijinsia.