Amedeus Live

Amedeus Live


Latest Episodes

Bwana Ndiye Mchungaji Wangu
May 29, 2023

Namna ya kuibariki siku yako na wiki yako kwa maneno yaliyovuviwa na nguvu ya Roho Mtakatifu. Uzima na mauti vipo kwenye nguvu ya kinywa!

Uwe na siku ya Ushindi
May 22, 2023

Tembea kwenye uhalisi wa Baraka ya Kristo katika maisha yako kwa kutamka neno la Mungu kila siku juu maisha Yako na vyote vinavyohusiana na wewe ..

Umependelewa Mno - Kupita Kawaida
March 14, 2023

Wewe sio wa kawaida, Bwana Yesu amkuzungushia radhi kama ngao. Wewe umependelewa sana, umepata kibali mbele za Mungu na wanadamu. Tembea kwenye Kweli hii kila siku.

ROR for Early Readers - Sept 2022
January 06, 2023

Kitabu hiki kinatoka kila mwezi na kina neno la Kila siku.  Kinaandikwa na mtumishi wa Mungu Mchungaji Chris Oyakhilome, kwa ajili ya watoto wa umri katika miaka 6 mpaka 12.  Kinapatikana katika tovuti ya www.rhapsodyofrealities.org  Ni kitabu sahihi kwa

Eradicate Sicknesses Talk (Ondosha Maongezi Madhaifu)
September 13, 2022

Divine health is yours in Christ. You are in Zion now, sickness and diseases are of the past. Live in the glory life now.

There is Room at the Top (Kuna nafasi kileleni)
September 13, 2022

Experience God's lifting and Promotion Daily - Grace is the power of Promotion.

Utukufu hadi Utukufu
February 15, 2022

Pro 4:18  Bali njia ya wenye haki ni kama nuru ing'aayo, Ikizidi kung'aa hata mchana mkamilifu.  hii ndio inapaswa kuwa safari ya maisha yako kwenye kila nyanja ikiwemo na afya yako pia. Endelea kutumia kinywa chako kutunza afya yako.

Maisha Marefu
February 15, 2022

Pro 3:1  Mwanangu, usiisahau sheria yangu, Bali moyo wako uzishike amri zangu. Pro 3:2  Maana zitakuongezea wingi wa siku. Na miaka ya uzima, na amani.  Ni hamasa ya Mungu kwamba uwe afya njema siku zote na uishi maisha marefu yenye ku

Asili ya Kiungu
February 13, 2022

Wewe sio wa kawaida, umezaliwa kwa mbegu ya Mungu, wewe ni zaidi ya mwanadamu wa kawaida. Unao uzima wa aina ya Mungu.

Maisha ya Utukufu
February 12, 2022

Safari ya Mtu mwenye haki ni kama siku ipambazukayo.... iking'aa na kung'aa mpaka mchana mkamilifu. #mchana #kung'aa #safari #haki